• Home
  • About Us
  • Schools
    • Thaqalayn Nursery School
    • Dar-ul-Muslimeen Primary School
    • Al-Qaem Seminary
    • Islamic College
  • Welfare
    • Safiina Dispensary
    • Holy Ramadhan Charity
  • Contact
  • Blog
Registration

Dar-ul-Muslimeen Primary School

Tangazo

FOMU ZA MAOMBI kwa mwaka 2022 zinapatikana Shuleni kuanzia tarehe 01/10/2021 kwa tshs. 20,000/-. Wahi, Nafasi ni Chache.

Maelekezo Muhimu Kuhusu Dar-ul-Muslimeen Primary School

Enrol you Child Today
  • Dar-ul-Musliomeen Primary School hutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia na kujifunzia.
  • Shule inaendeshwa na wadhamini waliosajiliwa wa Dar-ul-Muslimeen hapa Tanzania kama taasisi inayosaidia na kuhudumia jamii.
  • Shule inatoa elimu ya msingi kwa muda wa miaka saba yaani kuanzia darasa la kwanza mpaka darasa la saba kwa kufuata mtaala na muhtasari wa Tanzania ulioandaliwa na Taasisi ya elimu iliyochini ya Wizara ya Elimu.
  • Masomo yafundishwayo hapa shuleni ni Hisabati, Kiingereza, Kiswahili, Sayansi na technologia, Jiografia, Historia, Uraia, Stadi za kazi kama yalivyoelekezwa na mtaala na muhtasari wa masomo Tanzania.
  • Baada ya miaka saba ya masomo, wanafunzi hufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi darasa la saba ambao huandaliwa na Baraza la mtihani la Taifa Tanzania.
  • Wanafunzi hufundishwa pia masomo ya Quran, Maarifa ya dini ya kiislamu na pia somo la Adabu na Tabia njema.
  • Tabia na mwenendo mwema ni kigezo muhimu na cha lazima katika kumfanya mtoto kuendelea na masomo shuleni hapa.
  • Kila darasa huwa na idadi ya wanafunzi kati ya 40 – 45 tu. Wanafunzi ambao huchelewa kutimiza masharti ya kujiunga huingizwa katika orodha ya kusubiri.
  • Mwaka wa Masomo huanzia Mwezi Januari na kuishia mwezi Disemba kila mwaka. Kuna mihula miwili ya masomo ambayo huwa na wiki za masomo kati ya 22. Pia kila muhula hufuatiwa na likizo ya takribani mwezi mmoja. Hivyo kuna mihula miwili na likizo tatu kwa mwaka. Maelezo zaidi yapo katika kalenda ya shule.
  • Kila mwaka wanafunzi watafanya mitihani minne ili kupima na kutathimini maendeleo yao kitaaluma. Matokeo ya mitihani hiyo hupewa wazazi. Viwango vya kufaulu kwa madarasa ya awali mpaka darasa la pili ni wastani wa alama 70% na kuanzia darasa la tatu mpaka la sita ni wastani wa alama 60%.
  • Watoto wote wanaoombewa nafasi hapa shuleni hupaswa kufanya mtihani wa udahili na wale wanofaulu tu ndio huandikishwa na kupatiwa nafasi.
Copyright © 2021. All Rights Reserved for the 'Registered Trustees of Dar-ul-Muslimeen'.
Contacts
+255 26 2323086 muslimbhanji@gmail.com
muslim
Address
Plot 17/2 CBP, Veta Road, Near CBE Makole, DODOMA City TANZANIA
Follow Us

We use cookies to enable essential functionality on our website, and analyze website traffic. By clicking Accept you consent to our use of cookies. Read about how we use cookies.

Your Cookie Settings

We use cookies to enable essential functionality on our website, and analyze website traffic. Read about how we use cookies.

Cookie Categories

Essential

These cookies are strictly necessary to provide you with services available through our websites. You cannot refuse these cookies without impacting how our websites function. You can block or delete them by changing your browser settings, as described under the heading "Managing cookies" in the Privacy and Cookies Policy.

Analytics

These cookies collect information that is used in aggregate form to help us understand how our websites are being used or how effective our marketing campaigns are.