• Home
  • About Us
  • Schools
    • Thaqalayn Nursery School
    • Dar-ul-Muslimeen Primary School
    • Al-Qaem Seminary
    • Islamic College
  • Welfare
    • Safiina Dispensary
    • Holy Ramadhan Charity
  • Contact
  • Blog
Registration

Madrasat Ahlulbayt Islamic College

MAELEKEZO MUHIMU KUHUSU MADRASSAT AHLULBAYT

  • Lengo la Madrassah hii ni kuandaa vijana wasomi kwa mafunzo ya dini ya Kiislamu na kuwahamasisha vijana kwa njia ya dini.
  • Kozi itakayotolewa katika Madraza hii itakuwa: “CHETI KATIKA MAARIFA YA KIISLAM”.
  • Kozi na ya miaka minne (4).
  • Masomo yatakayo fundishwa yatakuwa pamoja na: Tajweed Al-Quran, Tafseer Al-Quran, Tadabbur Al-Quran, Hadithi, Taarikh al-Islam, Fiqhi, Usul Al-Fiqhi, Mantiq, Falsafa, Usluub Al-Khitaabah, Usluub Al-Tabligh, Lugha Al-Arabiyyah, Nahw, Sarf, Adyaan Al-Muqaarinah, Akhlaq Al-Islami, Aqaid Al-Islami, n.k.
  • Baada ya kufaulu na kumaliza kozi kwa miaka minne, cheti kitatolewa na kupangiwa kazi ya kulingania dini (tabligh).
  • Waombaji baada ya mafanikio pia wanaweza wakakabidhiwa shughuli kama vile ualimu au wahubiri katika sehemu wanaotoka ili wafanikishe shughuli za kidini.
  • Ingawa Madrassah hii inatoa Elimu bure na kinawapa wanafunzi mahitaji yanayostahili, kama malazi, chakula, n.k., hii isiwe sababu kwa wazazi wa wanafunzi kujikalia tu bila kutoa mchango wao wa kihali na mali wakati wa dharura.
  • Mapendekezo yamepewa wale ambao umri wao ni kati ya miaka 14 hadi 22 (wavulana tu), na walio umri wa ziada wanaweza kufikiriwa kutokana na kiwango cha elimu walio nao.
Enrol with the Madrassa Today
Copyright © 2021. All Rights Reserved for the 'Registered Trustees of Dar-ul-Muslimeen'.
Contacts
+255 26 2323086 muslimbhanji@gmail.com
muslim
Address
Plot 17/2 CBP, Veta Road, Near CBE Makole, DODOMA City TANZANIA
Follow Us

We use cookies to enable essential functionality on our website, and analyze website traffic. By clicking Accept you consent to our use of cookies. Read about how we use cookies.

Your Cookie Settings

We use cookies to enable essential functionality on our website, and analyze website traffic. Read about how we use cookies.

Cookie Categories

Essential

These cookies are strictly necessary to provide you with services available through our websites. You cannot refuse these cookies without impacting how our websites function. You can block or delete them by changing your browser settings, as described under the heading "Managing cookies" in the Privacy and Cookies Policy.

Analytics

These cookies collect information that is used in aggregate form to help us understand how our websites are being used or how effective our marketing campaigns are.